naomba kuuliza je ina maana yoyote
1. Kuendelea kumpenda mtu ambaye anakudisrespect
2.ambaye una feel like he is using you
3.hajali maneno matendo anayofanya kama yanakuumiza hata kama unamuambia
4.ameshaamua kukudharau kwa kila unalosema au unalotaka kufanya anaweka question mark kama vile huwezi au ni wewe ina maana ameshaku undergrade
5.sana sana anahitaji kutimiza tamaa zake za mwili na sio kingine
najua watu wengi wameshakumbana na hayo au mojawapo
je nini mtu afanye anapokuwa kwenye hali hiyo na bado anampenda mtu wa aina hiyo ?
chauro dia,huyo hafai kabisa,utaishia kuumia tu moyo wako. Ni bora ujivue maana hakuthamini kabisa.
Ni moja kati ya mambo yanayoongeza maambukizo ya ukimwi katika familia...yani mapenzi yenu ni kitandani tu ndio patamu,tena mnapeana kwelikweli kwa staili zote na kumbuka hii huwa ni pekupeku!
Baada ya hapo kila mmoja na hamsini zake..yani ni kutumiwa tu! Haya ni mapenzi FEKI hayatakiwi
lizzy najaribu kuangalia yale nayoona mimi ni mama wa familia tayari
lizzy najaribu kuangalia yale nayoona mimi ni mama wa familia tayari
jaribu kusimama kwa miguu yako miwili....mapenzi ya namna hiyo mwishowe utaletewa magonjwa na utaleta mateso kwa watoto.....my dear chukua hatua.....atakuua huyo
dada preta hapa naongelea wale wanaokumbana na hayo nikijaribu kungalia hasa suala zima la hawa kaka zetu wanaosifia infidelity kuna kitu hapo au ndo hayo yanayoendelea
chauro this is about your personal growthwhat do you mean?
hapa dada chauro nimegundua kuna kitu kama hofu imekuingia kuhusiana na swala la infidelity....hawa wakaka wa huku kuongelea suala hilo...mimi ningekushauri jifunze, unachoona kinakufaa kichukue...sio wote wanaoongea mambo haya ni watendaji.....hapana....
cha kufanya kaa chini....chekeche faida na hasara.....uchukue uamuzi sahihi
chauro this is about your personal growth
thoughts are things,material messengers that we send out to influence our physical world.
what you think of me thats how i will become to you........
sawa nakubali vipi kama unafanya negative all the time natakiwa kuendelea kurate positive au niwekeje
you said you still love him! is that right?
there is something very wrong with making the same mistake
over and over again,day in and day out.this shows a complete lack of you two self awareness
Figure out what is right and what is wrong in your days and in your life
then set about making immediate improvements.
cause at the end of the day your happiness is of such a great importance.