does it worth

Haaaaaaaaaaaaaaaaaaa Finest ukimfukunyua paka ......................nimeibadili maana mwenyewe akiishtukia ntahamishwa mji:bange::evil:
Dah!! Halafu nilikuwa sijaona hiyo signature...mhhh there's definitely something there
 

...umemzoea tu bana, mapenzi yeshachuja hapo.
Boost your self esteem, jiendeleze kielimu/biashara/miradi.

Have an open communication na partner wako.
Is there a room for a change(s)?

Kama hakuna, swallow your pride.
Jijengee msingi mpya wa maisha yako.
 
sweetheart, unfortunately Chauro decided to continue with the torments.... THERE MUST A BITTER-SWEET EXPERIENCE HAPO AMBAYO IS NEXT TO NONE!!!
 
It might be possible lakini Chauro anaweza asi-notice aone labda ni jambo la kawaida
 


chauro....samahani hii thread niliiona jana lakini kwa sababu zangu binafsi nikajikuta tu nimeshikwa na kigugumizi cha vidole kiasi cha kushindwa kutype keybody yangu. Leo I hope nitawezakuchangia japo kidogo.

Mpenzi wangu the way ulivyoweka hiyo scenerio hapo jibu la haraka haraka linalikuja kichwani ni IT IS NOT WORTH AT ALL.......... it pains unapokuwa kwenye situation like that na hakuna kitu mtu atakachotamani zaidi ya kutoka kwenye that kind of relationship........ But wait a minute.........the last sentence, yes the last sentence bears it all................. you still love that person despite the Odds.................. That is all matters.

Najua wengi watapinga kuwa mapenzi yapo kwa ajili ya kufurahishana na si kuumizana but am telling you kuwa amang the things zinazofanya mapenzi yawe matamu ni hayo maumivu.....only if we know how to handle them....As long as unampenda try to talk this into him, talk, talk and talk again at the end of the day LOVE CONQUERS ALL......... atakuja kukuelewa. Ni mara nyingi sana nimewahikuwasikia wababa wakiadmitt hadharani uvumilivu wa wake zao na wanawarespect for that.............. As long as unampenda and is a person anayeongeleka. ....... Singlehood is not as attractive as it is being perceived outside......believe me!!

BUT IF THE DIFFERENCES ARE IRREPARABLE..................... take action and be ready and willing to face the challenges.
Love ya gal
 
Dear kuna sehemu umesema ....anajiridhisha tamaa zake za mwili.......mh mie hapo huwa sielewi kidogo kama hili linatokea kwa mtu ambaye anampenda mwenzie and will die to get her/his soul intertwinned by that of the love of his/her life. Kama you deeply love your man/woman no matter the differences you will at some points during the deed tend to forget the pain and fly in that lovely moment........so in this situation your sentence kuwa anatimiza tamaa zake za mwili kwangu inakuwa ngumu kuimeza............................

How would you feel kama hata hiyo tamaa angekuwa anaitimizia kwingine kabisa??
 


Kumwacha mtu unayempenda siyo kazi rahisi na hasa kama bado mpendaji haujaamua mwenyewe toka mwake mwake kuwa kudharauliwa sasa basi, namwacha huyu na nina imani nitampata mwingine nitakayempenda/ atakayenipenda na kuniheshimu.
Maisha ni kuchagua, kama umechagua kuwa tayari kufanyiwa hayo yote na kuyavumilia basi,
endelea kuwa naye ila kama umeamua kusema BASI, siyo mbaya pia.
 
Mbona kama penzi hakuna hapo? maana vitu vyote hivo anafanyiwa mtu mmoja? fungua macho ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…