Does Personal Care have gender Stereotypes??

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
7,841
Reaction score
17,491
Let's go downright to the point, i have been hearing this several times mostly from middle aged women and men as well. I just want to hear some from you guys.

Is it effeminate for a man being extremely smart (hygienically)??

Heard some women dislike when a man is extremely smart and considered as girly.

Sometime somewhere nishasikia kauli hii,
"How come mwanaume unakuwa msafi kuliko dada zako" , Unadate mwanaume msafi, ananukia kukuzidi mpaka unajishtukia.

Some women prefer a well-groomed clean shaven men, while others die for fully thick beard men.

Le me here from ladies out here, ni kweli kuwa mwanaume kuwa msafi sana ni mambo ya kike, ni kweli usafi na kujipenda ni mambo ya ke tu???
Sky Eclat yna2 Paula Paul Heaven Sent na wengineo.

Karibuni.

images-27.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume kuwa msafi hakuna tatizo..Kama usmart wa mavazi ..kushave beard..kunukia vizuri..kucha Safi nk...ila Kuna ile kupitiliza Sasa doh! Ndiyo hapo me anaonekana Kama ke.
 
Let's go downright to the point, i have been hearing this several times mostly from middle aged women and men as well. I just want to hear some from you guys.

Is it effeminate for a man being extremely smart (hygienically)??

Heard some women dislike when a man is extremely smart and considered as girly.

[emoji1313]Hizi kauli nimekutana nazo sana.
"How come mwanaume unakuwa msafi kuliko dada zako" , Unadate mwanaume msafi, ananukia kukuzidi mpaka unajishtukia.

Some women prefer a well-groomed clean shaven men, while others die for fully thick beard men.

Le me here from ladies out here, ni kweli kuwa mwanaume kuwa msafi sana ni mambo ya kike, ni kweli usafi na kujipenda ni mambo ya ke tu???
Sky Eclat yna2 Paula Paul Heaven Sent na wengineo.

Karibuni.

View attachment 1418319

Sent using Jamii Forums mobile app
I like smart men, I hate a man who smells body odour.
 
Umenikumbusha kuna mkaka tulikuwa tunasoma naye. Sidhani kama kuna mtu mchafu kama yeye. Haswaki ukiangalia mdomoni kwenye meno nadhani unaelewa. Haogi na wala habadili nguo halafu eti alikuwa na baby.

Nilikuwa najiuliza sana ila nikagundua hamna watu wachafu kama ngozi nyeupe. Jamani asilimia kubwa ya ngozi nyeupe ni wachafu sana, kutokuswaki, kuoga, kubadili nguo kwao kawaida sana. Ila wabongo ni wasafi sana yaani.

Nirudi kwenye mada, usafi hauna jinsia. Mwanaume kuwa msafi inapendeza sana.
 
mimi msafi sana navaa mpaka hereni sikio moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume kuwa msafi hakuna tatizo..Kama usmart wa mavazi ..kushave beard..kunukia vizuri..kucha Safi nk...ila Kuna ile kupitiliza Sasa doh! Ndiyo hapo me anaonekana Kama ke.
Well 👏, nimekuelewa sana yna2 sasa hiyo iliyopitiliza ndio ningependa kuisikia, inakuaje, i mean kupitiliza how?
 
I like smart men, I hate a man who smells body odour.
I heard somewhere, some women really like when a man smell a very strongly body odour kwamba ndio uanaume huo 😂😂
 
Umenikumbusha kuna mkaka tulikuwa tunasoma naye. Sidhani kama kuna mtu mchafu kama yeye. Haswaki ukiangalia mdomoni kwenye meno nadhani unaelewa. Haogi na wala habadili nguo halafu eti alikuwa na baby.

Nilikuwa najiuliza sana ila nikagundua hamna watu wachafu kama ngozi nyeupe. Jamani asilimia kubwa ya ngozi nyeupe ni wachafu sana, kutokuswaki, kuoga, kubadili nguo kwao kawaida sana. Ila wabongo ni wasafi sana yaani.

Nirudi kwenye mada, usafi hauna jinsia. Mwanaume kuwa msafi inapendeza sana.
Speaking of that guy 😅, Swali la kujiuliza kuna a certain girl kafa kaoza kabisa kwa the guy. I think this issue is very subjective.
 
Umenikumbusha kuna mkaka tulikuwa tunasoma naye. Sidhani kama kuna mtu mchafu kama yeye. Haswaki ukiangalia mdomoni kwenye meno nadhani unaelewa. Haogi na wala habadili nguo halafu eti alikuwa na baby.

Nilikuwa najiuliza sana ila nikagundua hamna watu wachafu kama ngozi nyeupe. Jamani asilimia kubwa ya ngozi nyeupe ni wachafu sana, kutokuswaki, kuoga, kubadili nguo kwao kawaida sana. Ila wabongo ni wasafi sana yaani.

Nirudi kwenye mada, usafi hauna jinsia. Mwanaume kuwa msafi inapendeza sana.
Nimejihisi kama unanisema mimi, enzi nasoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamna tatizo kua msafi sana. tatizo lenyewe linakuja pale ukiombwa mzigo(ndogo) na wahuni.

mwanaume anatakiwa awe msafi casual na ka harufu ka ubeberu-beberu hivi, sio unanukia vi strawberry vichipsi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom