Does someone's background really matter a lot au "yaliyopita si ndwele, tugange yajayo??..

Does someone's background really matter a lot au "yaliyopita si ndwele, tugange yajayo??..

Simao Latino

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2025
Posts
477
Reaction score
608
Eti wakuu, katika swali la kumuingiza mtu katika ajira mpya, urafiki, mapenzi, dili ya pesa, kumkabidhi asimamie mali yako wewe ukienda Ujerumani kusoma, does someone's background matter a lot au "yaliyopita si ndwele tugange yajayo"??

Which approach might be less risky than the other??
 
Mungu angekuwa anaangalia backgroup mtume Paulo asingestahili

Sio kila kitu utegemee background pekee

1. Kwenye suala la Pesa na mengine muhimu sana kujua background na sasa mtu yupoje

Tabia huwa inachukua mda kubadilika

Background chack inasaidia kufanya maamuzi

2. Pia usisahau kujua kwa sasa yupoje ,

Mwisho background sio unaangalia 20 yrs,atleast jua 10 yrs, 2yrs na current
 
Kwanini unawaita kuwa ni wachawi mkuu??
Wewe utapewajwe mikoba hata hujajifunza mizizi ya kazi yako, kwa hio wachawi hawawezi kukupa mikoba km background yako haiendani na wao yaan utawasaliti wengi hupewa nafasi kwa kuzingatia background kwa kukwepa usaliti, Yesu alijichanganya akamweka Yuda mweka hazina wa kikundi pasipo kujua background yake vizuri kilichofuata kumbe Yuda alikua na tamaa ya mali na fedha akamuuza Yesu
 
Sawa mkuu
 
Ni muhimu kujua background/historia ya mtu hasa ikiwa unataka kuwa invilved nae katika masuala ya msingi kwenye maisha kama ndoa, biashara n.k
 
Experience matters either it's for good or bad ,

Itategemea yeye ataitumiaje experience yake
 
Back
Top Bottom