Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
Kwanini unawaita kuwa ni wachawi mkuu??Wachawi wengi huangalia background
Wewe utapewajwe mikoba hata hujajifunza mizizi ya kazi yako, kwa hio wachawi hawawezi kukupa mikoba km background yako haiendani na wao yaan utawasaliti wengi hupewa nafasi kwa kuzingatia background kwa kukwepa usaliti, Yesu alijichanganya akamweka Yuda mweka hazina wa kikundi pasipo kujua background yake vizuri kilichofuata kumbe Yuda alikua na tamaa ya mali na fedha akamuuza YesuKwanini unawaita kuwa ni wachawi mkuu??
Sawa mkuuWewe utapewajwe mikoba hata hujajifunza mizizi ya kazi yako, kwa hio wachawi hawawezi kukupa mikoba km background yako haiendani na wao yaan utawasaliti wengi hupewa nafasi kwa kuzingatia background kwa kukwepa usaliti, Yesu alijichanganya akamweka Yuda mweka hazina wa kikundi pasipo kujua background yake vizuri kilichofuata kumbe Yuda alikua na tamaa ya mali na fedha akamuuza Yesu
Someone once told me "people change". Was it a lie??Wachawi wengi huangalia background
How many years back?? 2 or 3??Ni muhimu kujua background/historia ya mtu hasa ikiwa unataka kuwa invilved nae katika masuala ya msingi kwenye maisha kama ndoa, biashara n.k
InfiniteHow many years back?? 2 or 3??
Do you mean even 20 years back?? Fransisco wa mwaka 2025 ni sawa na yule wa mwaka 2005??Infinite
Bro, what part of the word 'INFINITE' don't you understand?Do you mean even 20 years back?? Fransisco wa mwaka 2025 ni sawa na yule wa mwaka 2005??
The word INFINITE itselfBro, what part of the word 'INFINITE' don't you understand?
Sawa mkuuExperience matters either it's for good or bad ,
Itategemea yeye ataitumiaje experience yake