Anaitwa Rashid Othman.
Sisi hatufati utaratibu wa ki-Marekani.
Hatuna bugdet ya ku dublicate vyeo mia mia!
Na hata hao Wamarekani walipopenyezwa na maadui wa kigaidi walisema moja ya tatizo ni kuwa na vyombo vya usalama lukuki, halafu vinakuwa hata havi coordinate, haviongei. Wakavi consolidate vyote chini ya Director of National Intelligence. Kwa ka inchi ketu kadogo, Director wa TISS ndio huyo anashauri usalama wa Taifa.
Sasa tusije kuiga kunya kwa tembo.
Hey guys, tunahitaji Ben Bernanke wetu, au?