KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Kwa bongo sijajua nani anawafuga, ila pale Karen Blixen Nairobi, wapo wanafugwa.Natafuta Damaltian dume na jike, niwafuge kibiashara. Nahitaji msaada wa mbegu na elimu pia.
Mungu akupe hekima, uanze kuyaona maisha kwenye mwanga BoraEdit tittle ww nimekuja speed nikajua dogi ya utelezini
Mbwa mwaminifu ni wa kike ,wa kiume ni wasaliti Sana hasa akijua unamkubali na kumjali SanaNapenda sana mbwa
Ninatamani niwafuge
Tatizo kazi zangu za kusafiri muda mwingi sipo nyumbani
Mbwa ni rafiki mwaminifu
Na mlinzi mzuri
Sikulijua hiliMb
Mbwa mwaminifu ni wa kike ,wa kiume ni wasaliti Sana hasa akijua unamkubali na kumjali Sana
Mbona mbwa wetu {Koko} sijawaona mkuu umetusaliti.Huu ni Uzi maalum kwa wapenzi wa mbwa, wafugaji na wafanyabiashara wa mbwa, wauza madawa na tiba za mbwa, wauza vyakula vya mbwa, na wadau mbalimbali wa mbwa.
View attachment 3150529View attachment 3150530View attachment 3150531View attachment 3150532
Kivipi? Tunaomba maelezo zaidi mkuuMb
Mbwa mwaminifu ni wa kike ,wa kiume ni wasaliti Sana hasa akijua unamkubali na kumjali Sana
Kama Manunu AliyepoteaI wish niwe na mbwa kama manunu yule...sijui wanaitwaje
Sema nakaa uswahilini
Jibwa lenye tabia mbaya