kwanza mpe hongera yake kwangu mimi binafsi huu ni mtazamo wangu binafsi..kwa engineering hasa kwetu THIRD WORLD ambapo technology iko slow kama kinyonga KOZI kama CIVIL , ELECTRICAL , MECHANICAL ENGINEERING ndio kozi ambazo kama anafikiria kuhusu soko la ajira hizi haziwezi chuja kwa muda mrefu , kuhusu kujiari CIVIL kama ni mtu wa kustruggle asitie shaka ..civil.............
vp MKUU kwani tcu teyari washaeka vitu hazaran, kama teyari naomba tufamishane wakuu🙂Mdogo wangu (binamu) anasema bro. mimi nilitaka kusoma Telecommunication Eng., Kwa mimi nijuavyo course hiyo tayari ishakua kama computer science au it ,yaani wote wana fursa sawa kwenye ajira.Je zile course zote zilizokua na majina kama accounting, law ,telecomm ,computer eng, n.k bado ni vilevile?
nawasilisha