Ninaishi na mdogo wangu,hana tatizo la kukojoa kitandani,lakini akiamka mashuka yamelowa kwa shahawa zinazomtoka akiwa usingizini.Tatizo ni nini?
sielewi una maana gani, analala bila chupi?bila hata bukta? mabao gani anapiga kila siku hayo ana kiwanda cha mbolea? hata akitoa siku moja, laweza kulowesha kitanda au mashuka kwani hiyo ni lita ngapi mzee, tuwe wakweli, kwani inatokaga lita ngapi hadi iloweshe mashuka namna hiyo, inakuwaje analala uchi, mbona sielewe, jaribu kutueleweshe sisi wengine hapa. sidhani kama mtu akiwa na afya njema kama huyu jamaa anavyosema ndo atakuwa anajipiga hayo unayoita mabao kila siku, nafikiri kuna kiasi kidogo tu kitakuwa kinajipunguza chenyewe automatically kutokana na Mungu alivyotuumba sisi wanaume, lakini sio kukojoa loooote kila siku, labda siku mojamoja tu, na ikiwa hivyo, ni kwa wale ambao muda wote wanawaza ngono ngongo tu, wanaangalia mapicha ya ngono etc, au pepo la ngono limewaingia. sasa, usiku wanakuwa wanawaza.
JAMBO LINGINE, inawezekana huyo dogo ana pepo mahaba, majini ya kike yanakuja kulala naye usiku kila siku, labda yanakuwa ni mabao ya majini ya kike, this is possible, na inatokea kwa wengi. watu wengi tu wameolewa na majini bila wao kujijua, na wengine wanajijua kabisa. kama vile baadhi ya wanawake wanavyoweza kulowesha kabisa mashuka wakati wa kujamiiana, ndivyo na majini yanaweza kulowesha hivyo hivyo yakija kumwingia mtu usiku.
pia ujue, kuna vibabu na vibibi, vichawi vinavyotembeaga usiku kulala na watu bila wao kujijua, this is obvious. wanafanya hivyo as a contract kulisha uchawi wao, kama vile tu wengine walivyo na mkataba wa kukaba watu usiku ili kulisha uchawi wao etc. kwa ushauri, hiyo siyo afya, nenda kanisani kaombewe, mpeleke haraka kanisani. matokeo yake, kama atakuwa na matatizo haya niliyotaja hapa, akija kuoa anawezakuwa hapati watoto, na ndoa itakuwa ngumu kwake kwasababu jini lina wivu na litahakikisha linamfunga yeye au mkewe. duniani kuna mengi.