Si amchore au amchonge kinyago!!! Ukimwona mwanamke wa type hiyo hawezi kuwa kwaahili yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] .Namnukuu alipoulizwa na baba, mbona uoi umri unaenda? akajibu bado natafta mwanamke mweny sifa zifuatazo;
1. Umri usizidi 27
2. Awe anasoma (last yaear) au amesoma na kuajiriwa kada za afya (kipaumbele) au ualimu
3. Awe bikra in naturality
4. Asiwe mweupe sana
5 Awe muislam
* nimeona nimsaidie kutafta, alietayar kwa kua na vigezo au kukaribiana navyo nafasi ni yake*
MLETA MADA KUNA MAPORI MENGI SANA NCHINI YAKO BWEREBWERERE NA VYANZO VYA MAJI LUKUKI NENDENI MKALIME. KULIKO KUNING'INIZA MAPOUMBOU.Namnukuu alipoulizwa na baba, mbona uoi umri unaenda? akajibu bado natafta mwanamke mweny sifa zifuatazo;
1. Umri usizidi 27
2. Awe anasoma (last yaear) au amesoma na kuajiriwa kada za afya (kipaumbele) au ualimu
3. Awe bikra in naturality
4. Asiwe mweupe sana
5 Awe muislam
* nimeona nimsaidie kutafta, alietayar kwa kua na vigezo au kukaribiana navyo nafasi ni yake*
Teh! Teh! Mkuu nimecheka sana hapo kwenye red.ππππMLETA MADA KUNA MAPORI MENGI SANA NCHINI YAKO BWEREBWERERE NA VYANZO VYA MAJI LUKUKI NENDENI MKALIME. KULIKO KUNING'INIZA MAPOUMBOU.
KAZI HAIMUUI MTU BALI INAMJENGA.Teh! Teh! Mdenmark katika ubora wake
FANYENI KAZI!
Wenzio wanazo,wewe kama magwiji washazinyofoa bikra zako zote mbili ni wewe,pole sana..[emoji23] [emoji23] [emoji108]
Hallooooooooooooo
Kwenye bikra hapo hata ya 0713 hupati
DuuuhWenzio wanazo,wewe kama magwiji washazinyofoa bikra zako zote mbili ni wewe,pole sana..
Ana demu humu alimwambia atamuoa, sasa akijua ni yeye atakosa pakupozea joto likipanda.hivi ukisema ni ww nani anakujua
Uoi ndio nini?! Unashindwa kuandika Huoi?!Namnukuu alipoulizwa na baba, mbona uoi umri unaenda? akajibu bado natafta mwanamke mweny sifa zifuatazo;