Dogo anataka kua pilot. Yuko adamant. Ushauri.

Sonnet

Senior Member
Joined
Oct 22, 2013
Posts
170
Reaction score
130
Mdogo wetu wa kike ambaye amemaliza form four... going to form five anataka kua pilot. Tuko against the idea but dogo yuko adamant. What I know for sure ni kwamba anapenda sana hesabu. Nimemshauri asome PCM aende engineering... Au PCB asome medicine. Sio mbaya akapata ushauri na huku. Fani ya upilot ni nzuri... Inalipa? Faida na hasara ya kusomea hio fani tafadhali.
 

mkuu, mi nakushauri, mwache asome PGM as long as ndio koz inayoendana na u-pilot kama sijakosea.

urubani kusomea ni gharama sana kwa sasa, kwa nchi yetu TANZANIA, hii course inatolewa katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) ambako wameanzisha school of aviation and technology mwaka huu..

pamoja na kwamba course ni ngumu, lakini ni nzuri mkuu, soko lake la ajira japo sijafanya utafiti sana lakinia nadhani ajira zake ziko maeneo mengi ikiwemo mashirika ya ndege na hata jeshini.

kuhusu gharama, kozi hii ina gharama kubwa kiufupi, ila burden kubwa linalala kwa serikali, sio mwananchi tena endapo mwanafunzi atakidhi vigezo kwa kufaulu inavyotakiwa..

kama umevutiwa, unaweza kuja chuo cha taifa cha usafirishaji mabibo, dar es salaam kwa maelezo zaidi.

ahsante.
 
Kwa nilivyosikia, unaweza ukasomea u pilot halafu mwisho wa siku ukapata shida ya macho, hapo ndo inakuwa mwisho wa kuwa rubani
 
Kwa nilivyosikia, unaweza ukasomea u pilot halafu mwisho wa siku ukapata shida ya macho, hapo ndo inakuwa mwisho wa kuwa rubani

elezea kiundani mkuu.. hizo ni safety and security matters. macho hadi kuwa na deffect lazima kuna vitu vinachangia..

toa reference za watu ambao wameshakuwa na matatizo ya macho.. otherwise unatutia ujinga.
 

Wewe utakuwa umejifunza neno adamant leo kwa hiyo unataka utulingishie hapa, lkn hauna lolote, swali gani hilo la kingese namna hiyo?

 
elezea kiundani mkuu.. hizo ni safety and security matters. macho hadi kuwa na deffect lazima kuna vitu vinachangia..

toa reference za watu ambao wameshakuwa na matatizo ya macho.. otherwise unatutia ujinga.
Si nimesema nilivyosikia, au hujaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…