Dogo anatembea na mama!

Bwana watu waache utani,

Unaweza kuoengelea mambo mengine lakini siyo mambo ya namna hii kwa watu wawili....mama mzazi na mke wako!!
 
siwezi wala kuliwazia hilo.. kwakua halipo.. na siwezi feel pain coz halipo kabisa
 
Kwa kweli inategemea, mie nitajali au nitajisikia vibaya mama angu akitembea na kijana ambae rafiki yangu
hapo nitajisikia vibaya japo pia sina jinsi ni kuwaacha, na kitu kingine akiwa anabadili kila mara leo huyu kesho
yule, hapo ni noma, ila akiwa alifiwa au talaka, na yuko na kijana wake huyohuyo kakutana nae kivyake sitasikia vibaya
ni maisha yake na happiness yake
 
Ninaungana na mawazo yako.
Tatizo liko wapi? Umri wa dogo au kutembea?
Kama huyo angemuoa je?
Kama angekuwa anatembea na watu wa umri wake je?
Kwa maoni yangu, mama ana uhuru wa kuchagua anayempenda bila ya sisi watoto kuwa na haki ya kumchagulia. Kitu ambacho mama angepaswa kuzingatia ni kuchagua mmoja, au mdogo au mkubwa, lakini mmoja. Sasa ikiwa anabadilisha kama nguo (atakuwa anajipachika jina jengine katika jamii na zaidi kwa kuzingatia tamaduni zetu hizi za "kutoa kibanzi kwenye jicho la jirani wakati kwenye jicho letu tuna boriti".
 
Hilo swala gumu sana. Naona ningehama nyumban il nikwepe aibug
 
sasa uone wivu kwani wataka utembee nae ww au?
Dada yangu mwenyewe sioni wivu wala siu mii roho coz kila mtu na maisha yake sembuse mama alienizaa?!
Hata kama ikitokea sana sana nitaamua kuondoka tu ku kwepa ma aibt bt kamwe cwez kuhoji.
 
Ni kazi ngumu sana kumpangia mtu namna ya kuutumia mwili wake,hakuna jinsi tofauti na kukubaliana na kinachotokea,kuwa mama haimaanishi kuwa na mamlaka na mwili wake!Kwanza inatakiwa ujue haikuhusu!
 
You son of mine... You never let your mama down! I knew you would never

kalisha me kitimoto...lolz Continue on being good son.

Sounds kama mama yake EMINEM ktk ile movie ya 8 Miles
 

Kwa nini isiwe ni mama yako?
 

Jiulize pia: Wakati huo huo ...What if ... Mama yako mzazi akikufuma nyumbani unafanya mapenzi na bibi wa umri wa zaidi ya miaka 70....
 
jamani hili jambo linauma sana kweli nilsha niona kwa macho tena mama kaolewa na mtoto ambaye hata watoto wake wana umri mkubwa zaidi haya ya miaka 10 kweli ni watoto walikuwa wanaona haya sana kila wakati ndio maana wengine waliamua kuhama na wengine kumtenga mama yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…