Anaitwa Golden boy akiwa ni msanii WA Bongo flavour na hiphop anazidi ongeza kasi kwa nyimbo zake Kali ikiwemo natamani na kibelenge aliyo shirikishwa na msanii jito fire bofya hapa kuskiliza nyimbo zake Wankali the golden boy Music - Free MP3 Download or Listen | Mdundo.com Usisahau kulike na kucoment chochote ili kuweza kumpa Mwanga zaidi kwa kile anacho kifanya