Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Dah aslay itabidi aende kwa mama kuwaremelea kili awards maana katika orodha zote nilizozipitia za kupiga kura za kili awards 2012 kwa kweli inasikitisha sana dogo aslay hayupo hata tuzo moja jaaa!!!! Inaniuma japokuwa aslay ni dogo