Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,370 Mar 16, 2012 #1 Dah aslay itabidi aende kwa mama kuwaremelea kili awards maana katika orodha zote nilizozipitia za kupiga kura za kili awards 2012 kwa kweli inasikitisha sana dogo aslay hayupo hata tuzo moja jaaa!!!! Inaniuma japokuwa aslay ni dogo
Dah aslay itabidi aende kwa mama kuwaremelea kili awards maana katika orodha zote nilizozipitia za kupiga kura za kili awards 2012 kwa kweli inasikitisha sana dogo aslay hayupo hata tuzo moja jaaa!!!! Inaniuma japokuwa aslay ni dogo
mankind JF-Expert Member Joined Jan 3, 2011 Posts 233 Reaction score 86 Mar 16, 2012 #2 Dogo anabana sauti ka demu bana,mi mara ya kwanza nilidhani ni ray c.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Mar 16, 2012 #3 PG 18 Under 18
mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 768 Mar 16, 2012 #4 mi ule wimbo naupenda..but i wish ungeimbwa na mtu strong zaidi...umeimbwa legelege sana..inshort haufai kuwa kwenye kili awards full stop!!!!!!!!!! mwambie amtafute Jafaray
mi ule wimbo naupenda..but i wish ungeimbwa na mtu strong zaidi...umeimbwa legelege sana..inshort haufai kuwa kwenye kili awards full stop!!!!!!!!!! mwambie amtafute Jafaray
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,370 Mar 16, 2012 Thread starter #5 una maana gani 18
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,768 Reaction score 3,622 Mar 16, 2012 #6 Bado sana kwa sababu ndio kwanza anaanza. Inabidi akaze buti ili safari ijayo aweze kuingia katika kinyang'anyiro cha KILI MUSIC AWARDS.
Bado sana kwa sababu ndio kwanza anaanza. Inabidi akaze buti ili safari ijayo aweze kuingia katika kinyang'anyiro cha KILI MUSIC AWARDS.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Mar 16, 2012 #7 shiny c said: una maana gani 18 Click to expand... Dogo hawezi kushiriki kwenye shindano la pombe coz umri wake bado mdogo,under 18
shiny c said: una maana gani 18 Click to expand... Dogo hawezi kushiriki kwenye shindano la pombe coz umri wake bado mdogo,under 18