wasanii kibao dizaini hawajampa support ya kutosha dogo aslay hasa kipindi kigumu cha kufiwa na mama yake mzazi....
Wako bize na "mama ongea na mwanao" msiba umekuja msimu wa mavuno. Wataenda kumpa pole uchaguzi ukiisha
We hata insta sidhani kama unatumia wwwasanii kibao dizaini hawajampa support ya kutosha dogo aslay hasa kipindi kigumu cha kufiwa na mama yake mzazi....
wasanii kibao dizaini hawajampa support ya kutosha dogo aslay hasa kipindi kigumu cha kufiwa na mama yake mzazi....
Support ya insta, mtu anakupost hata simu yake ya pole huoni.
By the way, wasanii wapo bussy safari hii
Wasanii kibao dizaini hawajampa support ya kutosha Dogo Aslay hasa kipindi kigumu cha kufiwa na mama yake mzazi..
Hii ya DIAMOND ngoja nimjibie, DIAMOND alipopata tu taarifa alifika kwenye msiba alishinda huko na akatoa pole zake na kuwaomba hudhuru wafiwa kuwa hatoweza kuhudhuria mazishi kutokana na mambo ya kikazi na hakutaka zipigwe picha za uwepo wake pale wala kuziweka ktk mitandao kwa sababu anazozijua mwenyewe.Nadhani Mtoa Mada ameona Aslay amepotezewa ni kwasababu ni jinsi wasanii wenyewe tulivyowazoea katiak maisha yao, kuanzia birthda hata maradhi wanaweka mitandaoni na hupenda kutoa pole na hata pongezi zaidi kupitia mitandao...yani kukiwa na birthday ya msanii ni mpaka unachoka kuona picha na maneno ya kuwish birtdhay....Kwahiyo mtoa mada ameongea ukweli kabsaa kama Aslay hakupata support kama wapatavyo wengine kwa kupitia mitandao yani hakukua na muamko wala mshtuko, kwa mfano kma account ya diamond ambao wale madogo nadhani wapo chini ya boss mmoja n.k... kaweka pole then kama kaendelea na maisha yake yakuweka video nyingine, kwa watu wa karib kama wao nadhani wangesubiri hata maiti ikishazikwa, baada ya siku moja waendelee kama kawaida yani kwa wale watu wa karib kama kina diamond, atleast kuweka hata picha tuko mazikoni n.k. baadae hata leo ndo wangeendelea na shughuli zao, lakin kumbukeni alipokufa kaka yake babutale kila mtu aliweka picha na maelezo, na hata alipokufa baba yake hali ilikuwa hivyo hviyo kila mtu katoa pole, ila kusema ukweli kwa ASLAY NI WACHACHE MNO WAKUHESABU HAWAFIKI HATA 7..
Kwa nn hajaenda kwenye msiba domo ana roho mbaya sana yani aslay na domo halafu hajaendaNa magufuli je.? pwilo Ms.Lincoln
Ila daimond hana tyme ya kumzika mtu yule jamaa et ni star babaake dully sykes alipo kufa alikuwa z"bar ana mshika matak.o zari na mez b pia vivo hvyo yani kiufupi jamaa labda afe mtu wa karibu saanaa au maarufu mno ndo ataenda ili akauze sura na atume pic insta very sadNadhani Mtoa Mada ameona Aslay amepotezewa ni kwasababu ni jinsi wasanii wenyewe tulivyowazoea katiak maisha yao, kuanzia birthda hata maradhi wanaweka mitandaoni na hupenda kutoa pole na hata pongezi zaidi kupitia mitandao...yani kukiwa na birthday ya msanii ni mpaka unachoka kuona picha na maneno ya kuwish birtdhay....Kwahiyo mtoa mada ameongea ukweli kabsaa kama Aslay hakupata support kama wapatavyo wengine kwa kupitia mitandao yani hakukua na muamko wala mshtuko, kwa mfano kma account ya diamond ambao wale madogo nadhani wapo chini ya boss mmoja n.k... kaweka pole then kama kaendelea na maisha yake yakuweka video nyingine, kwa watu wa karib kama wao nadhani wangesubiri hata maiti ikishazikwa, baada ya siku moja waendelee kama kawaida yani kwa wale watu wa karib kama kina diamond, atleast kuweka hata picha tuko mazikoni n.k. baadae hata leo ndo wangeendelea na shughuli zao, lakin kumbukeni alipokufa kaka yake babutale kila mtu aliweka picha na maelezo, na hata alipokufa baba yake hali ilikuwa hivyo hviyo kila mtu katoa pole, ila kusema ukweli kwa ASLAY NI WACHACHE MNO WAKUHESABU HAWAFIKI HATA 7..