Dogo Fyatu!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Baba: Unampenda nani zaidi kati yangu mimi na mama yako?

Mtoto: Nawapenda wote.

Baba: Kama nikienda Marekani na mama yako akaenda Paris, wewe ukaambiwa umfuate mmoja utaenda wapi?

Mtoto: Paris.

Baba: Okay kwahiyo unampenda zaidi mama yako, sio?

Mtoto: Hapana, kwa sababu naipenda zaidi Paris.

Baba: Okay, na mimi nikienda Paris na mama yako akaenda Marekani wewe utaenda wapi?

Mtoto: Nitaenda Marekani.

Baba: [kwa hasira] Kwanini wakati umesema unapenda zaidi Paris?

Mtoto: Kwa sababu nitakua tayari nimeshaenda Paris.

Baba: Pumbavu, umeenda lini Paris?

Mtoto: Kwenye swali la kwanza ulilouliza.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…