DOGO G NI MOTO ISEEY!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kafikisha nusu mwezi anafungua uzi... Akifikisha mwezi mzima si atableed kabisa
 
huyu dogo anatumika kwa matumizi ya binadamu

Sio bure
 
Haka kajamaa ukiangalia picha yake na hata mwandiko wake utahisi harufu ya vitunguu swaumu yaani kanaonekana ni "biriani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…