Unamaanisha kijana ni pilau!James delicious jr
Hiyo sio picha yake..huyo ni tekno,msanii wa nigeria
Picha ya tekno hyo
Dogo unazingua.. Hata wiki 2 hujatimiza humu... Ila usituletee Tena Haya mapichapicha yako.. huku hatuna shobo na picha za mtu
Nan mimi?Ushindwe kwa jina la yesu
YesMadam s
hahaha ..huku u Fb " hauhitajiki aiseee.... utakuwa unajichoresha mnooo"" watu wa Fb " Humu wanatafasirika kama vilaza mnoooYeap madame,ko bado ule u-fb fb kama upo kimtindo
[emoji23][emoji23][emoji23]hahaha ..huku u Fb " hauhitajiki aiseee.... utakuwa unajichoresha mnooo"" watu wa Fb " Humu wanatafasirika kama vilaza mnooo
Mkuu unaandika kimafumbo sanaa,vp funguka
jiongezeee bwana.....15 za nini madam