Lol ha ha ha we una maneno!!!ukute dada anampa piriton mchana kutwa! mahousegirl hawa tutajibebaje...katoto kanalala toka saa mbili hadi saa moja jioni chezeiya?
hawa mabeki 3 wengine wanatesa hivi viumbe jamani..acha tu! hadi unarudi jioni kabeby kamesuffer vya kutoshaLol ha ha ha we una maneno!!!
Jaribu kupunguza masaa anayolala mchana,kisha apewe chakula kabla hajalala yaani time za jioni!ukitoa maziwa anakula cerelac, uji na ndiz huwa zinasagwa kwa blender,
akishaoga asubuhi hupewa chakula na kulazwa so kama akiamka ni kwa kubadili dieper au usingiz umeisha
Jaribu kupunguza masaa anayolala mchana,kisha apewe chakula kabla hajalala yaani time za jioni!
Jaribu kumfanyia babymassage!Kuna njia maalum za kumkanda mtoto kwasababu misuli yake haijakomaa!
eheheee mbona tunategana aisee! aiyaaa naomba nimbebe eeeh!kaka kwa mtazamo wako vp hashibi
wanasema pombe ni nzuri sana kwa watoto inasaidia digestion iende vizuri! hapa wengi watanichapa ila ndo hivo ..ukimpiga mtoto vijiko kadhaa vya lager hadi asubui...cc gfsonwinmadogo kama hao uheheni huwa wanapigwa kitu ulanzi. Mnakutana asubuhi. Utaipenda
ila watoto wa kike wanapenda sana kudeka deka usikukama yawezekana rukhsa, asante
hashibi vizuri huyo
mpige ugali wa kutosha...atalala hoi na kujamba usiku kucha
ahaaa mi napenda sana watoto dear ...nimelea watoto wengi pia wa masister mabrother...marafiki...nawaelewa kidogoThis might be very true, mtoto wangu wa kwanza alisumbua sana, bibi yake akasema tumtengenezee uji laini (wakati huo ana wiki mbili tu!). Baada ya hapo alianza kulala fofofo!
Smile ukija kuwa na mtoto utakuwa mama wa maana sana, tatizo vijana hawaoni wadada wanaofaa kuwa wake.
Wale wanaotafuta wake humu, Smile yumo humu, jamani!
ahaaa hata mimi sikushauri hivo! ila ndo hivo bwana...hata iwe nzuri kiaje siwezi thubutu hiyo mambo
This might be very true, mtoto wangu wa kwanza alisumbua sana, bibi yake akasema tumtengenezee uji laini (wakati huo ana wiki mbili tu!). Baada ya hapo alianza kulala fofofo!
Smile ukija kuwa na mtoto utakuwa mama wa maana sana, tatizo vijana hawaoni wadada wanaofaa kuwa wake.
Wale wanaotafuta wake humu, Smile yumo humu, jamani!