Wahabari,Msanii Dogo Janja kwenye ngoma yake ya "my life" kuna mstari anaimba "Msomi Nikki wa Pili mii niliachaga Makongo".Wanajukwaa naomba kujua kisomo(fani aliyojikita ) cha Nikki wa Pili nasikia anachukua PhD yake.
Yupo udsm anafanya phd ya masuala ya jamii pale IDS Pia ni member Wa council ktk chuo kimoja cha diploma hapa mjini so ni msomi na janja hajam compare na mwingine.
Mfano mi pia ni msomi lakini sio kiwango cha Nikki yeye ana PhD mi sina