Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Yule dogo muoza meno toka atown,katimuliwa toka mtanashati baada ya kukacha shule na kuondoka kwenye getho alilopangiwa. Ni mara ya pili kwa dogo kutoswa baada ya kutoswa na madee mwaka jana.