Dogo Janja: Irene Uwoya ana mvuto, anafaa kuwa mpenzi wangu

Kwa nini jamii inaona sawa wanaume wakifanya kwichkwich na vibinti vidogo lakini inakuwa nongwa pale majimama yakifanya na vivulana?
 
Huyu dogo anamfunua Uwoya?, kweli bongo muvie hamnazo aisee..
 
Dogo toka aanze kutumiwa bangi na wazazi wake kutoka arusha amekuwa kichaa
 
Kama dogo janja asingeacha/kushindwa shule sasa hivi angekuwa chuo.Sasa nadhani dogo anaona ameshakuwa.Siyo Irene tuu Inasemekana Dogo anapendwa na Wamama/Madada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka kutoa wimbo huyo, japo na ayasemayo huweza kuwa kweli.
 
Kipindi oprah inatoka dogo janja alikua darasa la 3, kweli domo kaharibu watoto

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Ila Irene Ana Chuchu tam acha dogo azitafune tuu! Zali limemuangukia
 
Ila Irene Ana Chuchu tam acha dogo azitafune tuu! Zali limemuangukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…