zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi... Wako wapi.
Balozi bado nipo, ninapanda kwenye chati... Kweny chati,
Nashika ileiile, ile moja namba, natamba......
Maneno ya Dolla Sol kwenye wimbo wake 'Balozi'
Leo amepotea na hatumsikii tena.
sijui naye yuko wapi
Dogo Janja,we bwana mdogo sana ndani ya medani ya Music....
Nakushauri komaa na Elimu,itakufikisha mbali,uwezo wako wa utungaji wa mashairi utakuwa...kikubwa sasa uangalie na Maisha ya madogo wenzako wa mtaani,watoto yatima,waliokimbiwa na wazazi,wanaofanyishwa kazi,then fyatuka na nyimbo zitakazo walenga watoto wenzako na zitakazo beba ujumbe wa kuwatia Moyo...Achana Starehe zitakupoteza mapema...
.....elimu ndo kila kitu...
we elimu imekufikisha wapi mkuu???
we elimu imekufikisha wapi mkuu???