Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Nyimbo mbovuu
Mimi sijaipata bado....
Halafu hivi tatizo la kutokufunguka picha ni kwangu tu au?
Tokea juzi sioni picha kabisa,hadi nikiona kiboks cha picha nakata tamaa kusubiri maana ni yaleyale.
INAKERA!
cc Invisible na wenzio
Mimi ni mpenzi wa muziki mzuri,na bahati naujua muziki mzuri ni upi...Itafute uisikilize halafu utoe maoni yako,maana wewe japo una team yako ila uwa hausiti kusifia kitu kizuri hata kama ni cha team pinzani.
Nmeeielewa piaWakuu nilikuwa kwenye duka moja hivi hapa mjini nikajikuta natingisha kichwa changu kwa madaha yote mara baada ya kusikia mziki mzito uliokuwa unatoka kwenye redio...sikujua ni nyimbo ya nani mpaka ikaisha ndo nikauliza nikaambiwa eti ni dogo janja,nilibishaaaa sana maaana nyimbo ilikuwa taamu,message nzuri kabisa,mdundo swaafi kabisa halafu swaga za kumwaga....kweli dogo janja karudi kwenye mziki ..kaza buti ivyo ivyo dogo live your life...
anaeweza kuweka link anisaidie maana nimeshindwa kutupia link hapa ...[HASHTAG]#mylife[/HASHTAG]
Hata mi namkubali ally kiba.... ni fundi pikipiki mzuriMimi ni mpenzi wa muziki mzuri,na bahati naujua muziki mzuri ni upi...
Ndio maana namkubali fundi Ali Kiba.
Subiri nikiupata nitaleta mrejesho.
Badilisha hyo tecno y300 sweetlov
Waarabu wa Pemba sie,twajuana kwa vilemba.Hata mi namkubali ally kiba.... ni fundi pikipiki mzuri
HeheWaarabu wa Pemba sie,twajuana kwa vilemba.
Najua unanichokoza niseme kitu roho yako ipate kutulia.....
Haya nimekujibu sasa,happy now?
Mkuu ninamwezi sasa sioni kitu hadi ninezoeaMimi sijaipata bado....
Halafu hivi tatizo la kutokufunguka picha ni kwangu tu au?
Tokea juzi sioni picha kabisa,hadi nikiona kiboks cha picha nakata tamaa kusubiri maana ni yaleyale.
INAKERA!
cc Invisible na wenzio