Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Dogo atulie, asubiri wamshauri, akikua atawlewa!Msanii mdogo kutokea huko Arusha amesema mwanaume kama huna helani bora usiwe na mtoto maana wanatekeleza watoto na kusababisha mateso kwa viumbe wasio na hatia na sasa maisha yamekua magumu
Pia amehojiwa na kipindi vcha shilawadu kuhusu kutoka na Jackline Wolper nakusema hilo sio kweli na anamuheshimu dada huyo kwa sababu ni mtu wa kwao wanapita njia moja wakienda kwao
Shikamoo dada wasafi nimetoka banKiki bana zinatafutwa kwa nguvu nyingi,alianza kuponda mavazi ya wasanii wa wcb kisa tu wimbo uvume. Wasanii wa siku hizi hawana ubunifu kabisa
Shikamoo dada wasafi nimetoka ban
Nimetoka ban ya masaa 3 but avatar yangu hairudiUnanianza ee ntakuripoti hio avatar yako ohoo
Nimetoka ban ya masaa 3 but avatar yangu hairudi
Acha tu now kuna mtu yupo fildi jf anajifunza jinsi ya kubanika watu..Kisa cha kula ban ni kipi?
Umri wake bado so muache aongee anavyovionaDogo atulie, asubiri wamshauri, akikua atawlewa!
Acha tu now kuna mtu yupo fildi jf anajifunza jinsi ya kubanika watu..
Jokes
Yes dogo ana point. na ameongea ukweli tupu.Dogo kaongea kweli, tatizo hawa wanawake bhana nao wakishatamani mtoto wanakuja na njia zote ilimradi umdunge mimba, dah
Hawa mademu washenzi man, acha tu niishie hapa.Yes dogo ana point. na ameongea ukweli tupu.
Na kweli yes mwanamke akitaka mtoto anakuja kwa nguvu zote..
But mwisho wa siku is up to mwanaume mwenyewe kuukwepa mtego kama anajua dhahir hana uwezo wa kulea by then