Dogo mwarabu msaudia akimsifia na kumpongeza Trump

Your browser is not able to display this video.
 
Kitu ambacho tunashindwa kukubali ni kuwa kuna wakristo wengi wanaiunga MKONO Iran kwa sababu hawapendi kuona uonevu ukiendelea

Ndio maana unaona Saudi Arabia anataka Iran abondwe ila Spain anasapoti uhuru wa Iran

Kitu cha muhimu ni kuwa vita hii haijabebwa sana na udini kama tunavyodhani sisi wabongo
 
Ni kweli kabisa umenena... Mmarekani anapambana kwaajili ya rasilimali na sio vinginevyo.
 
Nikiwemo mimi naunga mkono Iran nashangaa watu kila siku wanapinga uone wa CCM lakini wanaunga Mkono USA
 
Daaah huyu dogo ataki BIKRA za peponi?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…