Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI TENA IPI NI YA NYANYA na IPI NI YA VITUNGUU!!!
.
.
NA PESA ZOTE ANAZO KAZISHIKA MKONONI,
Ha ha haaaa natamani watu wote tungekua na umakini huo wa kufuata maelekezo kwenye mambo yote tunayoyafanya. Tatizo siku hizi tunaanza kwanza kufanya, tukikwama ndio tunaangalia manual/ user guide inasemaje? Nimecheka sana mkuu.