Mjegejo Wa Begeju
Member
- Jun 17, 2023
- 93
- 239
Anaamka asubuhi anajiangalia kwenye kioo. Nimemshangaa sana. Halafu anatumia dk 10 zote akinyoosha nguo. Haya maisha mtu hana kazi anategemea kula kwangu. Anataka apendeze . Ili iweje?
Kama vile haitoshi kanaondoka asubuhi hii kanajipulizia na utuli. Nimekwazika sana. Huyu dogo kamaliza Chuo Mwaka jana lakini sioni kama yupo serious na maisha. Mimi hali yangu ipo tenge... Siwezi nyoosha nguo. Nanyosha ili iweje umeme wenyewe nao siku hizi haukai kabisa. Units zinakimbia kinyama.
Dogo hajifunzi maisha. Haoni mimi natoka home hata nguo sijanyoosha. Haoni kama nabana matumizi. Halafu ninyooshe ili iweje? Mafuta mimi napata ya tsh 500 tu. Yeye anatumia Nivea tsh 12,000 anatumia utuli. Mimi situmii hizo kitu.
Nakaona ka bwana mdogo kanajiangalia angalia kwenye kioo muda wote. Nataka nikang'oe kile kioo. Kanapaswa kuwa serious na maisha. Mtoto wa kiume na utuli wapi na wapi? Mi namtizama tu. Hajayajua maisha nataka aondoke akajifunze maisha huko mtaani.