The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Piga hesabu 50,000-57,000 US $ per year after tax na hapo umeenyeka kichizi.Hio ni mara ngapi ya mshahara wako wa kubeba box?!
Hio ni mara ngapi ya mshahara wako wa kubeba box?!
Duh kwahio mshahara wa wiki moja wa huyo dogo ni mshahara wako wa mwaka mzima na wote mko Ulaya! Si urudi tu huku tulime maparachchi?!Piga hesabu 50,000-57,000 US $ per year after tax na hapo umeenyeka kichizi.
Ikitokea napata mshiko kama huo madanguro na maescort/ calls girls watanikoma
Nirudi nipate dollar 5000-8000 kwa mwaka?Duh kwahio mshahara wa wiki moja wa huyo dogo ni mshahara wako wa mwaka mzima na wote mko Ulaya! Si urudi tu huku tulime maparachchi?!
Njoo tupambane huku hio $5000 wiki tu unaipataNirudi nipate dollar 5000-8000 kwa mwaka?
Kamoooonnn GT!
Wanaoipata ni wa kuhesabu. Niliingiaga kichwa kichwa matikiti na haisii dalala kilichonitokea nikaapa i will permanently stick my black ass in DenmarkNjoo tupambane huku hio $5000 wiki tu unaipata
Matikiti yaache kwenye spreadsheet....ukiingia kichwa kichwa lazima ulie.Wanaoipata ni wa kuhesabu. Niliingiaga kichwa kichwa matikiti na haisii dalala kilichonitokea nikaapa i will permanently stick my black ass in Denmark
Duh kwahio mshahara wa wiki moja wa huyo dogo ni mshahara wako wa mwaka mzima na wote mko Ulaya! Si urudi tu huku tulime maparachchi?!
Dah products gani GT? Nilipokuwa mgeni Denmark nilikuwa naokota sana vitu 'jalalani' hasa DVD players na masony bavaria. Nikayajaza homu hadi uvunguni ex waifu akawa ananicheka. Yani ikawa kero eti nakusanya nilete bongo ilibidi nivitupe tu na kuvitupa huko jalalani inabidi ulipie. Bora kubeba boksi nakutulia tuMatikiti yaache kwenye spreadsheet....ukiingia kichwa kichwa lazima ulie.
Tafuta product ya huko uilete Tz. Trust me zipo nyingi sana
Mkuu dah nilitaka kukupita hivihivi. Hii mara ya tatu kubadilisha avatar Picha yako. Kuna ile ya kwanza dogo amebeba jembe begani
Naam baba mwenye nyumba
Lete hata used fridges,freezers, electronics etc.Dah products gani GT? Nilipokuwa mgeni Denmark nilikuwa naokota sana vitu 'jalalani' hasa DVD players na masony bavaria. Nikayajaza homu hadi uvunguni ex waifu akawa ananicheka. Yani ikawa kero eti nakusanya nilete bongo ilibidi nivitupe tu na kuvitupa huko jalalani inabidi ulipie. Bora kubeba boksi nakutulia tu