Kitu gani hiyo?Iyo ni airdrop mkuu
Haya. Siku mkianza kupata mapesa mnishtueHiyo ni coin ambayo bado haijaingia sokon so kwa kujoin before kuingia sokon unapewa coin kutokana na umri wa telegram yako
Nitapenda niwaangalie mkipata maokoto. Nitakuwa nyuma yenu kuwashangiliaBut ni vema ukajoin upate mzigo wako siku ya kuuza naww uuze sio kutuangalia ss tukiuza
Ni kweli mkuu acha tusubiri iyo tarehe 14Si wametangaza tareh 14 kwenye birthday ya Telegram kuna jambo lao wanatoa, kama itakuwa na uhakika waalioitilia maanani watapiga pesa, achana na hawa washamba ambao mpaka leo hawajui mambo ya onlines. Anyway ni bora kujaribu maana upungukiwi kitu wala huombwi chochote kujiunga na hiyo kitu.
Ni washamba tu wasiojua haya mambo ndio hupingapinga.
Mimi nimeweka vyote ila hyo reward nashindwa kuiclaim.Ingia telegram sett your username then click link tena
Sasa naonaje coin zangu.Muda wa claim bado mku