Doh! Ving'asti bwana...!!

kachumbari

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
126
Reaction score
9
Vyenyewe ni vocha na maankuli tu...! basi? lakini vikikolea utashangaa vimetinga GETINI balaa...!
 
Na wewe ni kumega tuu hahahahahaa kaka ndo zao haoooo lazima uchunikeee
 

Aaagh!! watu wengine Bana sijui mkoje, sasa mambo gani haya kurushana roho??

Sijui hii picha niitumie kufanya ile mambo yetu:thinking::thinking:
 
Vyenyewe ni vocha na maankuli tu...! basi? lakini vikikolea utashangaa vimetinga GETINI balaa...!

duuhhhh ndo maisha yao hayo kaka na hiyo ni biashara.... kwa hiyo anataka profit...
 
kaka mchelea mwana kulia mwisho hilia yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…