Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 6,236 Reaction score 10,774 Apr 14, 2025 #1 Hivi karibu msanii Doja Cat amezua gumzo kwenye mitandao mara baada ya kuoiga picha ambazo zitatumika kwenye maonyesho ya mavazi pamoja na majarida ya fashion. Kwa mtazamo wako mdau, je hii ni fashion ama ni madness? Picha 1: Picha 2: Picha 3: Picha 4:
Hivi karibu msanii Doja Cat amezua gumzo kwenye mitandao mara baada ya kuoiga picha ambazo zitatumika kwenye maonyesho ya mavazi pamoja na majarida ya fashion. Kwa mtazamo wako mdau, je hii ni fashion ama ni madness? Picha 1: Picha 2: Picha 3: Picha 4:
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Apr 14, 2025 #2 Hiyo ya mwisho ndio kapanua nini sasa
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Apr 14, 2025 #3 Wanakuaga Watamu sana 😎
Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 6,236 Reaction score 10,774 Apr 14, 2025 Thread starter #4 Mshana Jr said: Hiyo ya mwisho ndio kapanua nini sasa Click to expand... Mkuu usizoom
Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 6,236 Reaction score 10,774 Apr 14, 2025 Thread starter #5 Mbaga Jr said: Wanakuaga Watamu sana 😎 Click to expand... Vitu vyako hivi
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Apr 14, 2025 #6 Damaso said: Vitu vyako hivi Click to expand... Mm bado mtoto, sijaanza haya mambo
Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 6,236 Reaction score 10,774 Apr 14, 2025 Thread starter #7 Mbaga Jr said: Mm bado mtoto, sijaanza haya mambo Click to expand... We umeshai-download kitambo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 14, 2025 #8 Safi sana... Cc: Mahondaw
Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 6,236 Reaction score 10,774 Apr 14, 2025 Thread starter #9 Smart911 said: Safi sana... Cc: Mahondaw Click to expand... We mkuu umezoom!?
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,384 Reaction score 4,358 Apr 14, 2025 #10 Nipe namba yake
Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 6,236 Reaction score 10,774 Apr 14, 2025 Thread starter #11 Snowpiercer said: Nipe namba yake Click to expand... Duuh
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 15, 2025 #12 Damaso said: We mkuu umezoom!? Click to expand... Fahari ya macho...