DOKEZO: Matangazo yanayoingia kwa SMS yatozwe/yaongezewe kodi

DOKEZO: Matangazo yanayoingia kwa SMS yatozwe/yaongezewe kodi

Joined
Sep 1, 2011
Posts
45
Reaction score
70
Mitandao ya simu imekuwa ikituma matangazo yao mbalimbali kwa njia ya SMS kama vile M-KOBA, SONGESHA, VODABIMA, 15350, VodaTaarifa, Vodacom Ofa, M-PAWA, LipaKwaSimu, TigoPesa, TigoNivushe, 15571, BUSTISHA, TIGOPEKEE na SMS Code zingine.

Matangazo haya pamoja na kwamba yanaweza yakawa yanatozwa kodi za kawaida za SMS ninaomba yaanze kuchajiwa Kodi ya Matangazo.

Haiwezekani wananchi tupate usumbufu wa kulazimishwa kuyasoma mara kwa mara bila serikali kunufaika.
 
Mitandao ya simu imekuwa ikituma matangazo yao mbalimbali kwa njia ya SMS kama vile M-KOBA, SONGESHA, VODABIMA, 15350, VodaTaarifa, Vodacom Ofa, M-PAWA, LipaKwaSimu, TigoPesa, TigoNivushe, 15571, BUSTISHA, TIGOPEKEE na SMS Code zingine...
Pia na GWALA BET
 
Matangazo yamekuwa mengi sana yani simu yangu kama ni radio basi ni clouds napokea sana sms za matangazo
 
Back
Top Bottom