Mitandao ya simu imekuwa ikituma matangazo yao mbalimbali kwa njia ya SMS kama vile M-KOBA, SONGESHA, VODABIMA, 15350, VodaTaarifa, Vodacom Ofa, M-PAWA, LipaKwaSimu, TigoPesa, TigoNivushe, 15571, BUSTISHA, TIGOPEKEE na SMS Code zingine.
Matangazo haya pamoja na kwamba yanaweza yakawa yanatozwa kodi za kawaida za SMS ninaomba yaanze kuchajiwa Kodi ya Matangazo.
Haiwezekani wananchi tupate usumbufu wa kulazimishwa kuyasoma mara kwa mara bila serikali kunufaika.
Mitandao ya simu imekuwa ikituma matangazo yao mbalimbali kwa njia ya SMS kama vile M-KOBA, SONGESHA, VODABIMA, 15350, VodaTaarifa, Vodacom Ofa, M-PAWA, LipaKwaSimu, TigoPesa, TigoNivushe, 15571, BUSTISHA, TIGOPEKEE na SMS Code zingine...