mmmhh hakuna kitu nakionea huruma dunia hii kama pombe..
mmhhh pombe inatufurahisha halafu baadaye tunaisingizia mabaya yote...
Ni kweli kuna jirani yangu alichukizwa na mama mkwe wake akaenda kulewa na kumtukana vibaya kesho yake anadai mama ni pombe tu nisamehe,nikataka kusema mbona ulisema unamnywea yeye pale bar ?mmmhh hakuna kitu nakionea huruma dunia hii kama pombe..
mmhhh pombe inatufurahisha halafu baadaye tunaisingizia mabaya yote...
Hayo maji yenu bwana mi naona yamenipita pembeni. Kila anayekunywa akigundua mi sinywi ananiambia nisiguse hata kidogo. Sasa nashindwa kuelewa mbona wao wanaendelea? Inasemekana ukishayanywa ndo unaanza kuona kila binti mrembo.
Nina mwili mzuri unaounguza chakula haraka (metabolism) vitu vyote hivyo siongezeki hata robo kilo.Nikinywa pombe kali si ntakonda kabisa ?
Ukiona wanaosinzia kwenye viti walichoka kabla ya kunywa pombe,mi nikitaka kulewa jioni nalala hata lisaa limoja kabla ya kwenda bar.Ila mi naona naweza kufurahi japo sinywi pombe, nashangaa ninyi mnajisikia vipi mkiwa mmelewa, maana wengi nawaona mnasinzia tu kwenye viti!!
Ila mi naona naweza kufurahi japo sinywi pombe, nashangaa ninyi mnajisikia vipi mkiwa mmelewa, maana wengi nawaona mnasinzia tu kwenye viti!!
Ni kweli kuna jirani yangu alichukizwa na mama mkwe wake akaenda kulewa na kumtukana vibaya kesho yake anadai mama ni pombe tu nisamehe,nikataka kusema mbona ulisema unamnywea yeye pale bar ?
hahahah lol umenichekesha sana..
unajua mtu hawezi kukukataza weye kufanya kitu...
kama kweli unataka kujaribu haayaa..( hapo ndo utajua jibu la kweli)
mie binafsi naona
kama wewe uki control alcohol na alcohol haiku control wewe..
hapo sioni tatizo kabisa..
ni pale tunapoipa pombe uhuru kupita kiasi ndo inapo tupotezea heshma...
Afrodenzi na 3D nawatakia usiku mwema kwaherini.
Afrodenzi na 3D nawatakia usiku mwema kwaherini.
Ah, haya bwana, maji yenu hayana sukari. Ila watu wanaokunywa pombe nadhani hawana rekodi kubwa ya kujiua. Very likely inawakutanisha na watu wengi hivyo pressures nyingi zinapungua. Sipati picha ningekuwa nakunywa ingekuwaje!! Nahisi ningekuwa naongea sana, bora hivi nisivyokunywa.
Sipatagi hangover kabla ya kulala nameza multivitamin tab,omega 3 cap na tylenol moja kwisha kazi.haya uporoto
kunywa power red kuondoa hangover kesho..
nite nite dear...:angel:
Sijui unajua karate au judo jamaa yake aitwae The Finest mkali kama pilipili take care bro.Poa mkuu, usiku mwema pia. Ngoja nifaidi avatar ya Afrodenzi hapa.
Sipatagi hangover kabla ya kulala nameza multivitamin tab,omega 3 cap na tylenol moja kwisha kazi.
Sijui unajua karate au judo jamaa yake aitwae The Finest mkali kama pilipili take care bro.
Mgongo una nafasi yake. Huwa nashangaa wadada mnajifunga kanga huku mmeacha migongo wazi. Huwa hamjui mnatuharibia concentration?
Sipatagi hangover kabla ya kulala nameza multivitamin tab,omega 3 cap na tylenol moja kwisha kazi.
Sijui unajua karate au judo jamaa yake aitwae The Finest mkali kama pilipili take care bro.
Judo naijua lakini huyu jamaa The Finest hata mi namuogopa sana siku hizi. Asije akazuia maandamano yangu kwa kigezo cha "Taarifa za Kiintelijensia"!
mmhhh mie nilidhani ni pale tu dada akitoka bafuni na kanga moja
kajifunga ili akauke mwili..
nilidhani hapo ndo mna loose concentration hahahaha lol:frog: