JOYCE PAUL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 1,005
- 82
Jamani leo nimejaribu kuchungulia nione kizota kuna ni pale nikamkuta msanii dokii akitoa burudani.yaani nilifadhaika sana na mfadhaiko huo uliniacha na maswali mengi pia..huyu dada alikuwa akikata viuno kama hana akili nzuri mbele ya viongozi wa taifa wenye imani tofauti haswaa za kidini ambao wameshika dini sana..me nimekwazwa na uchezaji wake na wanawake waliokuwa eneo lile wengi wao walijishika midomo huku wameinamisha vichwa vyao chini ishara ya kuhamaki wanachokiona...jamani wasanii angalieni mnatoa wapi burudani na sio kujichetua mbele ya kadamnasi yenye watu wa rika tofauti na imani tofauti..