Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Inawezekana ikawa ni muendelezo uleule tu wa Viongozi wa wenye Uwezo wa kawaida kiakili kuwaonea wivu watu wenye akili nyingi na hivo kuogopa kuzungukwa nao.
Majuzi nilisikia MTU anasema, na yeye ni mwanauchumi, ila Dkt Mpango naye ni mwanauchumi ila alimsaidia baadhi ya masuala ya uchumi .( Kauli kama hii Kwa Tafasiri ya kawaida, MTU huyu anajifananisha na Mwenzake katika msingi wa kutaka kuonekana wote ni wabobevu jambo ambalo Si kweli ).
Dkt Bashiru pengine mapungufu yake ni ya kifalsafa dhidi ya kitu Fulani, ila ukweli ni kwamba Dkt Bashiru ni Gifted, IQ kubwa, Brain ilijitosheleza.
Kuendelea kumuweka Benchi ni kulikosea Taifa hili, Kwa kushindwa kunufaika na watu aina ya Dkt Bashiru.
Kwa CCM ya Sasa, Hamna MTU wa Kwenda na LISSU , Heche Kwa hoja , zaidi ya uchawa matokeo yake ni kushauriwa matumizi ya nguvu !!.
LISSU anahitaji watu aina ya Dkt Bashiru !!.