The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
Ndulu anasema hiyo ni kitu safi kwa kuexpoti kwa hiyo tuiache tu iporomoke wahindi wazidi kuexpoti
hata ukimfukuza mpaka mfanya usafi benki kuu haita saidia tatizo ni serikali ya CCM.......Huyu Ndullu naona kazi imemshinda kwani toka amekadhiwa hicho kiti cha marehemu Ballali hakuna la maana alilofanya bali ni kashfa tu; mabillioni yaliyotumika kujijengea nyumba, noti mpya kuchakachuliwa na hivi sasa kushindwa kuthibiti mfumuko wa bei!! Kama kazi kuu ya BOT ni kuthibiti mfumuko wa bei na huyu bwana ameshindwa kwanini aendelee kukomba maillion ya shilingi ya mshahara wakati kazi yake haina tija?
hata ukimfukuza mpaka mfanya usafi benki kuu haita saidia tatizo ni serikali ya CCM.......