Dola ya Mrima(Kilwa) iliokuwa Taifa kuu Afrika Karne ya 10(1070 A.D)

Kwakweli jamaa hawa wanashangaza sana. Halafu wapo serious kweli kwamba historia na ukweli vimefichwa na kupotoshwa, wamepata nafasi ya kusimulia ndiyo wanaanza kusimulia madudu.
Huyu Mohamed Saidi, Mungu anamuona.
 
Asante sana kwa somo
 

Edit basi, fanya herufi ndogo. Hizo herufi kubwa inakuwa kama unapiga makelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…