Mama Brian
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 320
- 21
View attachment Dola yafanywa mbadala wa shilingi Dar es Salaam.doc
Jamani maoni yenu wana JF kwa mwendo huu tutafika kweli?
Jamani maoni yenu wana JF kwa mwendo huu tutafika kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thamani ya shilling kuwa chini against USD sio kitu kibaya mara zote. Wachina wanalaumiwa na wamerekani kwa 'kushusha thamani' ya ya currency yao artificially! Thamani ya sarafu yetu inapokuwa chini, tunakuwa na advantage kubwa zaidi ya kuuza bidhaa zetu nje! Tatizo letu kama taifa ni kununua zaidi kutoka nje kuliko vile tunavyouza.