steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Yaani daaaaaaaaah,leo katika pitia pitia yangu ya mitandaoni dola ya Kimarekani imerudi vile vile kama wiki 2,3 za nyuma, sasa hivi kwa mujibu wa chanzo cha ZOOMTANZANIA ni 1$=Tshs.2265.8, hii ni selling price.
Hivi tunaelekea wapi jamani wakati jana tu ilikuwa ni 1$=Tshs.2060 na leo ndio ngoma imeshoot ghafla kiasi hicho,hivi hatuna Reguratory Authority ya kudhibiti Fluctuaion za fedha za kigeni? kama zipo kazi zao haswa ni zipi?
Ina maana zile dola walizoinject kwenye mzunguko ndio zimeishia hapo (hizo wiki 2,3) na tatizo kurudi kuwa ni vile vile, Hatuna long term strategic plan ya ku-resolve tatizo kubwa kama hili linaloathiri uchumi wa nchi kwa kiasi kikubwa jamani, au mnataka nchi yetu iwe kama Ugiriki wa wazungu wa Meli.