Dollar kuhadimika na kupanda janga lake ni kubwa kuliko lile la kupanda mafuta

Dollar kuhadimika na kupanda janga lake ni kubwa kuliko lile la kupanda mafuta

live on

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
855
Reaction score
1,365
Ukweli ni kwamba yajayo yanafurahisha watanzania tusubiri maumivu ambayo yawezekana hatujawahi kuyapata

Jana nilienda kariakoo kuchukua mzigo wa majora ya vitambaa vya shule vinaitwa ISTEM mwezi mmoja uliyopita bei ya jora Moja ilikuwa tshs 175000

Lakini Kwa Sasa jora Moja bei imepanda Hadi kufika tshs laki mbili

Nilipowauliza shida nini wakasema shida ni dollar kupanda na kuhadimika ndio maana hu mzigo Hadi unafika hapa inabidi tuuze laki mbili Kwa jora

Lakini pia nilichogundua hivi Sasa watu wanajiamulia tu mambo Yao Kwa kisingizio Cha Dollar kupanda na kuhadimika

Yani wafanya biashara wapo huru kana kwamba hakuna serikali wanafanya wanavyojisikia anayeumia hapa ni mwananchi

R I.P Jiwe
 
Back
Top Bottom