Dollar sasa yazidi kupaa, sasa ni Tsh 2,284

Mfukutuzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
239
Reaction score
175
Hali inazidi kuwa mbaya kwa fedha yetu, hadi jana tarehe 25/6/2015 exchange rate ilikuwa inasoma 1US Dollar = 2283.75 Tsh, na hiyo ni kwa wastani, kuna sehemu inaenda mbali zaidi ya hapo, wadau tunalitazamaje hili? Tuachane na wataka Ikulu, tuangalie kwanza mustakabali wa nchi yetu.

Ni kweli hatuna wachumi wa kulishughulikia hili?
 
Leo 3000/- huku nilipo...
 
Back
Top Bottom