Kaka na swali hapa kwa MFAno thamni ya dollar moja ilkuwa 2000 uka change tz shillings to dollars yani nika nunua hata dollar 100 then nikazi tunza ghafla kwa muda mfupi thmni ya dollar ika panda from 2000 to 2300 nitafanyaje hapo ili niweze pta faida maana naskia ndio mchezo wa baadhi wa wachumi kupata pesa
Hiyo ni biashara official kabixa na watu wanatajirika kupitia buzness iyo,,, kamsome millionaire mmoja wa SA naitwa SANDILE SHEZI,, katajirika kupitia hii biashara akiwa na umri wa miaka 22 tyu,,,,,,,,,,,,,,,,,, Inaitwa FOREX( foreign exchange Market.)
Unaweza kuifanya kwa namna nyingi hii biashara,, mojawapo ikiwa ni Kumiliki mwenyewe maduka ya kubadilishia fedha( Bereau de Change) nadhani unazifahamu,, ama kununua na kuuza fedha kulingana na demand imelala upande wa sarafu gani bila kumiliki duka we unakua ni kubadilisha tyu kwenye mabenk na kwa hawa wat wa Bereau de change....
Mfano kwa kifupi::: kama dollar demand yake iko high it means utanunua dollar kwa kutumia shillingi,,, kadiri dollar inavyopanda ndivyo thamani ya dollar ulonunua inazidi kuongezeka thamani,,, ikifikia muda wa kutaka kuiuza dollar ulonunua it means utaiuza endapo demand yake itakua at the peak, kama sio at the peak bas itakua ishaanza kushuka lakini usisubiri ishuke chini ya thamani ya ile ulonunulia.........!!!!
kwa maana hiyo sasa faida yako wew inakuja wapi,,!??? ukiiuza dollar ulonunua mwanzo endapo demand yake iliongezeka kwa mfano ulinunua kwa:::
1 $ ====== 2000 tsh wakati wa kununua.... Na
1$ ====== 2300tsh wakati wa kuuza
It means faida yako apo wew ni 300/= kwa kila dollar moja...........!! inategmea ss ulinunua dollar ngapi apo ss............
kwa mtu anayeendesha maduka ya kubadilishia fedha faida inakuja iv... atanunua dollar kwa kias flan na ataiuza kwa kiwango flan kwa wew unaetaka kununua izo dollar au fedha nyingine yeyote,,,, ni kama mchuuzi wa nyanya sokoni anakua na bei anayonunulia mzigo na bei anayouzia ili ajihakikishie faida
Najua unaskiliza taarifa za habari haswa ITV,, mwisho hua wanasema ""hebu tuangalie bei za sarafu mbalimbali kulingana na bei ya kununua na bei ya kuuza ktka maduka mblmbl ya kubadlishia fedha""""
Unaweza kujiuliza,, hawa wenye maduka wananunua wapi? ili waje kuuza hizi sarafu???
Pindi wanapobadilisha shillingi kwenda kwenye dollar Apo wamenunua,,, na pindi wanapobadili dollar kwenda shillingi apo wameuza...,,, Na kila upande wa kubadili unakua na rate zake....!!!
Na obvious upande wa kuuzia huwa juu zaidi ya ule wa kununulia
Nadhani kwa kifupi umeelewa FOREX ni nini...!!!
kwa wale ambao wanafanya tayari hii bzness na wenye experience nayo vizuri waje kuongeza, kupunguza ama kukosoa,,,,,,,,,!!! Am nat doing thc stuffs but have theoretical knowlegde of it....