Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
HakikaIlikuwa sherehe ya miluda mfupi
Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2420 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu aliyenunua dollar wiki iliyopita leo ana faida ya karibu 200 kwa kila dollar moja
Tumshukuru Mama Tena.Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2420 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu aliyenunua dollar wiki iliyopita leo ana faida ya karibu 200 kwa kila dollar moja
Yeah. 10 years moreMaza ana beat many....
Mbona shilling ya kenya haikuimarika dhidi ya dola kipindi shilingi ya tz ikiimarika,ikiwa sababu si ndani bali USA?Hawasikiagi, hakuna mtu Tanzania aliyesababisha dollar kushuka, ni issue za Marekani wenyewe
Madeni ya WB au wote waliotukopesha?..WB wanatudai kiasi gani?Labda kama uliamini kweli marehemu Mafuru alitoa suluhisho la kudumu kwa ‘bi-tozo’.
Vinginevyo kushuka kwake ilikuwa temporary measures za WB kuisamehe nchi kutolipa madeni yake kwa miezi mitatu.
Baada ya hapo mziki ulikuwa unarudi pale pale.
Cha msingi ni msamaha wa miezi mitatu ya kutolipa madeni yao.Madeni ya WB au wote waliotukopesha?..WB wanatudai kiasi gani?
DuhCha msingi ni msamaha wa miezi mitatu ya kutolipa madeni yao.
Hakukuwa na miujiza mingine.