talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Hili wazo japo nahitaji nyama zaidi. Ukiweza naomba ukiongeza maelezo.Nunua shared hosting package, unapewa unlimited website...unabaki ku deal na domain tu.
Hiyo reseller ni nzuri kwa wale wanaofanya biashara ya hosting pia ni gharama compared na hiyo ya shared package.
Hizi hosting company uwa wana package inaitwa "shared" unaweza kuhost websites nyingi kwa pamoja.Hili wazo japo nahitaji nyama zaidi. Ukiweza naomba ukiongeza maelezo.
Ahsante sana! Ngoja nipitie kuona namna ya kufanya. ThanksHizi hosting company uwa wana package inaitwa "shared" unaweza kuhost websites nyingi kwa pamoja.
Jiunge hiyo package then kazi inabaki kuzisajili domain humo.
Mfano ni shared hosting package ya namecheap, wanakupa uwezo wa kuhost unlimited websites kwa hiyo price.View attachment 2381205
Ninashukuru brother .. naona inatakiwa nilipoe hosting kabla mwezi huu haujaishaNgoja waje kukupa muongozo...