Waumini wa siku hizi wapo kama nyumbu, wanaongozwa na viongozi wa dini wenye utata nao wanawafuata tu hata kama wanavuka kwenye mto wenye mamba wakali wako tayari watekeketee kama wale wa kibwetere na mackenzie. Waumini hawana akili hata za kuumangilia ugali na kachumbari, hatari sana