Domo lisilokuwa na meno ndiyo linafanya moyo unauma

Domo lisilokuwa na meno ndiyo linafanya moyo unauma

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
"Nakupa vinchenchi nakupa visenti mbona hautaki kutulia" wivu mama wivu!

1. Miaka hiyo wakati naingia kwenye tasnia ya mahusiano nilidhani nikimpa🤣visenti ndo atatulia aah nilijidanganya kumbe

2. Miaka hiyo nilidhani kuishi kipole Bila KUMFOKEA pale anapokosea ndio atatulia nilijidanganya

3. Miaka hiyo nilidhani kumpa Kila anaachoomba ndo atatulia nilijidanganya

4. Miaka nilidhani 🤣kumpa "cassava of ja-cow(hogo la Jang, ombe" ndo atatulia aah nilijidanganya

5. Miaka hiyo nilidhani kumfatilia sana wife ndio atatulia aah nilijadanganya

Kuna kawimbo huwa kanaimbwa "usimchezee chatu eeh chatu eeh" "🤣

6. Miaka hiyo nilidhani kumpa pesa nyingi ndo atatulia aah nilijidanganya

Sasa nimehitimu cha ulimbukeni Karibu vijana wengine kwenye Chama

Chochote utakachofanya kwa mwanadamu mwenzio fanya kwa" "kiasi" usizidi kipimo.
 
Kweli kabisa, hasa kwenye mahusiano usijichanganye kumpenda kupitiliza,utainjoi maisha,Kuna mmoja nilimpenda kupitiliza nikajua atabaki na Mimi mda wote, kumbe nilikuwa najidanganya tu aliniacha vibaya Sana,
 
Back
Top Bottom