Domo zege!

Domo zege!

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
SALUT wana JF.
Mimi ni kijana wa kitanzania, mwenye maadil mema, ila tatizo siwezi kutongoza. Nkimkaribia mwanamke huwa natetemeka na nakosa cha kusema. umri unaenda na uzee unakaribia.
Natafuta mwanamke au msichana mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 25 aliye tayari ani PM.
Kama wewe c Mwanamke Usi PM au KUCOMMENT.
Thank you in advance
 
Una umri gani, The Boss, huwa anatoa kozi ya kuepukana na domo zege, angalia post za nyumba au umpm
 
Last edited by a moderator:
kama ni mkazi wa dar es salaam nenda ambiance(kona bar sinza) utajikuta umejifunza kuongea
 
mi mwenyewe huwa sijui mwanamke anatongozwaje.......lakini hadi huwa nawakimbia......wakat mwingine ata macho tu yanatosha kumtongoza mwanamke......ivi unafikiri wanawake wanahitaji kuwekwa kati na maneno elfu ndo akukubali??lahasha...wee kama kun abinti umeona anakufaa jaribu kuwa nae karibu....just TAKE CARE OF HER...UTAMPATA....SHOW HER THAT UR FAITHFUL...MJULIE HALI,MSHIRIKISHE MIPANGO YAKO ATA KAMA HAKWAMBII...........UNAOHISI WANAJUA KUTONGOZA WOTE NI MAPLAY BOY NA HUISHIA KUWAUMIZA HAO WADADA,,......CHA MSINGI UMESHAJITAMBUA.
 
Back
Top Bottom